Electric Supply, Rain Water Drainage, Domestic Sewage, Gas Supply, Water Supply, Car Parking
Facilities
Yes
Service Charge
30000
Survey Fee
5000000
Development Fee
50000000
Legal Fee
50000000
Agent Fee
*Eneo la Ekari 22 la Viwanda na Makazi linauzwa Visiga-Madafu*
*Distance* Kutoka Morogoro road mpaka site ni 4KM
*Location* Eneo lipo upande wa kulia ukitokea Dar es Salaam
-Eneo limepandwa Mikorosho na liko tambarare.
-Plot size Ekari 22
-Eneo limepimwa Ekari 15 matumizi viwanda na Ekari 7 matumizi makazi mchoro upo linauzwa lote.
-Light Industrial ni hizo plot 8 sawa na ekari 15 na makazi na biashara hivyo vidogo viko plot 55 sawa EKARI 7 *(tazama mchoro)*
*Matumizi* Light Industry na Makazi
*Bei ni shillingi milioni 500 kwa eneo lote*