*Nyumba ya Ghorofa inauzwa Africana chini*
-Nyumba ina vyumba vitano, vitatu juu, (kimoja master viwili vya kawaida), viwili chini vya kawaida, dinning moja iko chini, sitting room mbili juu na chini, kitchen moja chini.
-Ina boy cottage
yenye vyumba vitatu.
-Plot size Sqm 927
-Title deed
*Bei ni shilingi milioni 900 maongezi yapo*
Property size: 800,Furnishing: Semi-Furnished,Bedrooms: 4,Bathrooms: 2