Plot inauzwa ndani ina gofu lenye 3bedrooms ila halijakamilika ukubwa wa Sqm 850 hati haina ipo kwenye process... mbez beach makonde karb na ukumbi wa bulls au bufalo mbele ya red hall upande wa bahari Mazingira Mazuri Sana usalama wa kutosha hakina mgogoro wowote... kupelekwa site elf40 Panafaa kwa uwekezaji Wa Appartment za wapangaji Hostel garage nyumba ya kuishi pia...