inauzwa leseni ya uchimbaji (pml) – chunya, mbeya
mahali: makongorosi, chunya – mbeya (karibu na lukuvi mining company... )
aina ya leseni: primary mining licence (pml)
madini: dhahabu (gold)
ukubwa wa eneo: hekta 7.93 ( ekari 19)
miundombinu: inafikika kwa urahisi kwa usafiri wa barabara
hali ya leseni: halali na tayari kwa shughuli za uchimbaji
bei: tsh milioni 140 (mazungumzo kwa mnunuzi mwenye nia ya dhati)
eneo lipo ndani ya ukanda wenye historia ya uzalishaji wa dhahabu ( lupa goldfield
uhamisho wa umiliki utafanyika kwa kufuata taratibu zote za tume ya madini tanzania.