Rain Water Drainage, Car Parking, Water Supply, Domestic Sewage, Electric Supply
Facilities
Eneo lenye nyumba za kuishi na lenye kiwanja ambacho hakijajengwa lenye ukubwa wa SQUARE METER 3445 linauzwa eneo la stakishali km chache kutoka Airport Julius K Nyerere. Hati ipo. Tuwasiliane