Kiwanja kinauzwa Vikindu vianzi malela,kiwanja kizuri sana,kipo jirani na Barabara kubwa ya mtaa ielekeayo zahanati au shule ya sekondar kisima.Uzuri wa kiwanja hiki kipo tambarale,na ardhi yake ya kichanga ambayo aituami maji.Kiwanja kipo jirani na nguzo ya umeme yaani unajenga na kuhamia TU.kwa maelezo zaidi nipigie