Domestic Sewage, Gas Supply, Electric Supply, Car Parking
Facilities
Viwanja hivi ni keki kwani vipo karibu na stendi ya mabasi ya Majohe Rada, Huduma zote za kijamii zipo karibu. bei kwa kila kiwanja kimoja ni Tsh milioni mbili tu. Maji, Umeme, shule, soko, usafiri na kadhalika vyote vipo.