Kiwanja ni kikubwa kipo chang'ombe mtaa umetulia kinafaa kwa makazi au kujenga hostel lodge na matumizi mengine gari inafika hadi kwenye kiwanja kiwanja kipo tambalale dakika 5 kutoka barabara kuu kwa mwendo wa miguu piga simu siku yeyote kupelewa site ukilidhika nakukutanisha na muhusika mnamaliza biashara. Eneo alina mgogoro wala changamoto yeyote ni uhakika asilimia 100% uslama 100%