House 4 sale at Sinza A square 288 hati saf mkononi panafaa kwa uwekezaji wa kujenga apartment za kupangisha au Lodge pia nyumba ya kuishi pia Hostel pia mtaa hautoki karb na lami ya zege mtaani bei milioni 265 mazingira mazuri sana haina mgogoro wowote hat saf