Shamba eka 6000 linauzwa.
Location: Pangani (limegusa mto Pangani).
Ndani: nyumba za wafanyakazi 15, ghorofa ya floor 3, miundo mbinu ya mabomba, mashine kubwa ya maji, mabwawa ya samaki kama manne, rutuba ya kutosha nk.
Umiliki: hati miliki za wizara.
Bei: bilion 8.5 Tshs maongezi yapo.
Karibuni sana.
iss