Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Water Supply
Facilities
Kiwanja kizur sana, kinapatikana Mwanza Malimbe Ruchelele, mita chache kutoka chuo kikuu cha SAUT Malimbe, kiwanja kinaanzi barabara kubwa inayitarajiwa kunengwa lami hivi karbun, ukubwa wa kiwanja n square meters 3995 takriban heka1, unaweza jenga shell, shule, hospital/Dispensary, makazi, apartment nk.n eneo zur sana na liko barabara kuu, pana hat miliki panauzwa ela ndogo sana 65million,maonge yapooooo! Karbu075XXXXXXX