Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza mazao kama Nanasi Migomba Papai Minazi Korosho Ndimu Maembe Machungwa nk