Kiwanja Cha Pili Toka Main Road Kinauzwa Himo Moshi
1/3
Kilimanjaro, Moshi Rural, 01/06
17 views
Kiwanja Cha Pili Toka Main Road Kinauzwa Himo Moshi
+1
1
Mixed-Use Land
Type
1600sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Electric Supply, Domestic Sewage, Water Supply, Car Parking
Facilities
Kiwanja cha pili kutoka barabara kuu ya himo moshi kinauzwa. kiko himo
kuna nyumba haijaisha na imeshapauliwa
mashimo ya choo yameshajengewa
maji yapo
ukubwa ni square meter 1600
bei: milioni 55 (maongezi)
umiliki wake:kiwanja kina offer na kimelipiwa mpaka mwaka huu
cont.
call whatsapp &sms + kwenda whatsap moja kwa moja bonyeza>>
insta
kujiunga na group let la whatsapp gusa hii link: