Kiwanja kizur sana cha makazi na biashara , kipo mita 90 kutoka chuo cha muhimbili, waweza jenga hosteli wanafunzi ni wengi wanauhitaji wa kupanga, kipo mita 800 kutoka barabara kuu ya moro dodoma au kihonda mizani ya zamani

karibu ujipatie kiwanja mpakani mwa chuo kikuu cha UDOM upande wa Benjamin hosptipal Dodoma, kimepimwa na kipo ndani ya makazi ya watu. maongezi yapo kidoogo karibu