Kiwanja kipo Mkundi kwa lung'wawa au karibu na Mkundi sheli. Huduma za kijamii zote zipo ikiwemo maji, umeme, barabara za mitaa, shule, usafiri wa public, n.k. Kiwanja kipo takribani mita 600 (0.6 km) kutoka barabara kuu ya Morogoro-Dodoma. Kiwanja kipo eneo zuri la makazi ya watu. Hakuna dalali. Simu