• Kiwanja Kikubwa Sana Morogoro

Kiwanja Kikubwa Sana Morogoro

Posted May 1
Mkundi, Morogoro Urban, Tanzania
188 views
Residential Land
Type
2200
sqm
Square meters
Residential
Property Use
Electric Supply, Car Parking
Facilities
Kiwanja kikubwa sana kinauzwa morogoro manispaa kata ya mkundi,pamejengeka sana nyumba za hadhi,ukubwa ni sqm 2200 au mita(miguu) 40 kwa 55, umeme upo hakuna haja ya nguzo, ni kushusha nyaya tu, barabara zinapitika vizur hata kipindi cha mvua kubwa, bei ni milion 12 , wasiliana kwa
TSh 12,000,000
Last seen 1 day ago
Morogoro Region, Morogoro Urban, Region 2291 Morogoro
0652644084
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

Similar adverts