tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots for Sale
  4. Farmland for Sale
Kibaha, Pwani, Mlandizi
102 views

Shamba Linauzwa

+1
6
Farmland
Type
4900 sqm
Square Metres
Mixed
Property Use
Shamba linauzwa ,kibaha mlandizi miswe.ukubwa eka 55. chanzo cha maji huakika ,kilimo kipindi chote kwa mwaka,maji ya mto ruvu na mto msumbiji. linafaa kwa kilimo cha mazao mengi ,ulimaji wa mboga,na ufugaji samaki.udongo mweusi,usioitaji mbolea. njia ya kufika kupitia bagamoyo au mlandizi. kutoka mlandizi zinafika km 10.kwa daladala nauli 1000... bei milioni moja kwa kila eka moja. sio pori,lote limelimwa.na lipo juu ya mto maji hayajai shambani. mita 150 kutoka kwenye mto
TSh 55,000,000
2 Feedback view all
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment