Viwanja vinapatikana Mwanza usagara kwenye barabara ya lami viko viwanja zaid ya 20 kila kiwanja kina hatua 25 kwa 30 na 25 kwa 20 kila kiwanja kinauzwa , unaweza nunua kiwanja kimoja au zaid ili kupata eneo kubwa zaidi, karbu sana unaruhusiwa kutanguliza au kulipa kwa awamu karbu sana cm