Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja cha pili kutoka barabara ya lami kinapatikana Mwanza Usagara round about, kiko barabara kubwa ya mtaa, kimezungushiwa msingi wa fens na kina matofar takriban 2000 imeisha vutiwa bomba la maji, imepimwa na kina ofa kinauzwa