tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots For Sale
  4. Commercial Land for Sale
Bagamoyo, Pwani, Miono, 23/07
3 views

Shamba Linauzwa Mihono Pwani Acre 159

+1
Commercial Land
Type
159sqm
Square Metres
Commercial
Property Use
Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Rain Water Drainage
Facilities
Partially Developed
Development Status
Dirt Road
Access Road
Residential Licence
Title
200000
Agent Fee
SHAMBA KUBWA LINAUZWA – FURSA YA KIPEKEE YA UWEKEZAJI! Unatafuta shamba kubwa lenye rutuba kwa kilimo cha kisasa, ufugaji au uwekezaji wa muda mrefu? Hii ni fursa usiyoipaswa kuikosa! Mahali: Kijiji cha Masimbani, Miono – Chalinze. Umbali: Takribani km 10 kutoka Miono. Ukubwa wa shamba: Hekari 159. Hekari 30 zimeondolewa visiki na ziko tayari kuanza shughuli. Hekari 100 zimefyekwa. Hekari 29 bado ni pori kwa ajili ya maendeleo ya baadaye. Udongo wenye rutuba wa rangi nyeusi na mwekundu, unaofaa kwa mazao mbalimbali ya biashara na chakula. Barabara inafikika kwa gari, hivyo usafiri wa watu na mazao ni rahisi. Umiliki: Hati za Kijiji. Bei: TSh 350,000 tu kwa kila hekari. Linafaa kwa: - Kilimo cha mazao ya biashara (miwa, michikichi, matunda, nafaka na mengineyo).
Shamba Linauzwa Mihono Pwani Acre 159Shamba Linauzwa Mihono Pwani Acre 159Shamba Linauzwa Mihono Pwani Acre 159
TSh 65,000,000Outright Price
3 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment
frame_left.gif