Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Acre 100 lipo mbwewe pwani shamba ni safi karibu lote limesafishwa mbwewe ipo kabla ya hujafika mkata baada tu ya kiluvuka mto wami
Shamba ni bora sana kwa kilimo shamba mwaka huu lilimwa ufuta lipo kilomita 16 kwenye baraba kubwa bei milion 30 lote umeme umepita maji ya DAWASCO yamepita hapo