Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply, Car Parking
Facilities
Kiwanja kipo eneo tambarale na upande mmoja umeshajengwa ukuta(fence), kipo mtaa uliochangamka na huduma zote za kijamii zinapatikana kwa urahisi, na barabara ya lami inapita mita chache kutoka kwenye nyumba