Kiwanja kizuri mno kina ukuta pande mbili, kipo mtaa mzuri uliojengeka kwa mpangilio na majirani wanajielewa, maji DAWASA yapo na umeme upo, pia huduma zote za kijamii zipo na ukipanda bajaji ikikushusha ukitembea dakika 3 umefika... Karibu sana maongezi kidogo yapo