Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja tambarale kabisa kipo barabara ya mtaa ambapo unaweza kutengeneza frame kwa mbele, huduma zote za kijamii zinapatikana karibu kabisa na usafiri unafika mpaka kwenye kiwanja