Minja real estate & Car broker inakuletea:-
Kiwanja kinauzwa nyumba ya magufuli bus terminal.
Kiwanja kina Sqm 1464.
Bei mil 150.
Dakika 5 tu kutoka Magufuli terminal au Mbezi Mwisho.
Hapa pazuri kwa kujenga Hotel au Lodge ya kisasa na wateja ni abiria wanaotoka mikoani.
MUNGU BARIKI KAZI ZA MIKONO YANGU.