Kiwanja chenye ukubwa wasqm 1500 kilichopo Mbezi Beach kinauzwa.
Kiwanja hiki kipo karibu na lami ,na kipo tankbovu. Ni mwendo wa dakika 5 tu kwa mguu kufika site.
Kina nyumba za wapangaji ambayo zinaleta Millon 1 Tsh Kwa Mwezi,
Kwaio ndugu mteja unaweza kununua ukaendelea kula kodi huku ukipanga nini cha kufanyia...
Karibuni Sana