Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply, Car Parking
Facilities
Kiwanja kimepimwa na kipo kwenye offer, kiwanja hiki kimezungushiwa fence ya ukuta na geti limewekwa tayari, hiki kiwanja kipo mtaa mzuri uliojengeka kwa mpangilio mzuri, kinafikika kwa usafiri wa aina yoyote karibu sana MAONGEZI KIDOGO YAPO