Apartment nzuri na ipo mtaa mzuri sana inapangishwa itakua wazi kuanzia tarehe 15/10/2023 kuona ndani ni ruksa kabisa endapo mpangaji atakuwepo na malipo ni ruksa kabisa
apartment hii inasifa zifuatazo
#vyumba 2 vya kulala vikubwa na kimojawapo ni master bedroom kubwa
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa la kisasa
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#maji yanatoka ndani masaa 24
#aircondition vyumba vyote
#parking kubwa
#garden
#ulinzi upo masaa 24
bei ni 400k x 6
ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ipo mbezi mwisho njia ya kuelekea makabe kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji au daladala sh 500 tuu na ukishuka tuu kwenye usafiri unatembea dk 2 upo zote za magari hadi kwenye nyumba
no chain hapa