Eneo linakodshwa location mbez beach makonde distance dk2 to main road... panafaa kwa biashara yyte kasoro kanisa mckti garagebaa tu... bei milioni 3 kod mwaka maongezi yapo parking kubwa fenc ipo na kuna office ndogo pia Mazingira Mazuri Sana usalama wa kutosha