Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Gas Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Yes
Service Charge
140000
Survey Fee
140000
Development Fee
140000
Legal Fee
100000
Agent Fee
Kiwanja kikubwa kinauzwa kiwanja kipo ndani ya fensi
kiwanja kipo mbezi beach ununio
kiwanja kipo umbali wa km 1 toka baharini
ukubwa sqm 5200
kila sqm 1 bei laki na alobaini 140000
ila leo tumetoka hapo tumeligawa mala 4
tumetoa viwanja 4
kila kimoja kina ukubwa wa sqm 1300
mteja akiweza achukwe chote
hati ipo hatua za mwisho ukinunua itatoka kwa jina lako
km 1 toka baharini
ununio kwa wasomari
karibu mteja