Halisia Real Estate inakuletea mradi mpya wa Bahari Project, eneo la kipekee lililo karibu kabisa na bahari, lenye mandhari nzuri ya kuvutia.
Fikiria kujenga ghorofa au apartments za kisasa zenye mwonekano mzuri wa bahari, zinazoweza kuvutia wakazi na wageni wanaotafuta sehemu yenye utulivu na mandhari ya kipekee.
Bahari Project ni fursa ya kujenga, kuwekeza na kufurahia uzuri wa bahari.
Wasiliana nasi leo upate maelezo zaidi na ujipatie kiwanja chako katika mradi huu mpya.