Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.

Posted Jul 13      Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
767 views
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
More 7 photos "Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa."
Property Type
Tank Farm
Furnishing
Unfurnished
Secure Parking
Yes

Ad details

Shamba kubwa linauzwa morogoro hekari 500 zinagusa MTO ngerengere kwa umwagiliaji hakuna shida Bei ya kuuza milioni 450 kwa zote ndani kuna go dawn tayari.Hekari 100 zinauzwa morogoro zinagusa MTO wami swala la kumwagilia maji hakuna shida lina hati safi,Shamba Hekari 100 Lina uzwa morogoro Tuliani linagusa mto Tuliani, Bei poa sana kila @ hekari moja laki5 tu.Hekari 121 zinauzwa morogoro sehemu Dakawa zimepimwa zina hati nako kuna MTO swala la umwagiliaji sio shida lina hati,mashamba mengine yapo maeneo ya kibaha,chalinze na bagamoyo,kilombelo,kigamboni,Mashamba yote haya yamepimwa haya mgogoro wowote, Shamba Hekari 65 Lina uzwa Mkamba kimanzichana lenye mifungo km ngombe na mbuzi Linauzwa Bei poa milioni 50 maongezi yapo. shamba hekari 15 zinauzwa milioni 8.5 kuna minazi,Mikorosho apo mkuranga Mwalusembe kutoka main road kilometer2 unafika site.kwa maelezo ya kupata mashamba kwa kilimo au ufugaji tupigie simu kwa maelezo zaidi.
078 xxx
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • Mashamba Makubwa Ya Kilimo Na Ufugaji Yanauzwa.
 • TSh 5,000,000
  Last seen 2 hrs ago
  Dar es Salaam, Kinondoni, Region Tanzania Dare saalam
  078 xxx
  0789435704
  Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz
  Please read safety tips
  • Do not submit any upfront fees for a real estate inspection.
  • Do not go to unfamiliar places alone.
  • Double check real estate agency background.

  Similar adverts