Car Parking, Domestic Sewage, Electric Supply, Rain Water Drainage, Water Supply
Facilities
Kiwanja kipo sehemu tambarale na kimepimwa mita 20 kwa 20 na ni umbali wa kilomita 1 kutoka barabarani.
Kwa umbali huu unaweza pia ukatembea kwa mguu kwa mwendo wa dakika 15 kutoka mwendokasi, sqm1 ni Tsh80,000/= karibu sana.