Apartment nzuri ya kisasa naifaulisha ndugu mteja
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 3 vya kulala na vyumba vyote ni master bedroom
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#paving
#garden
#zipo tatu tuu kwenye fensi moja na hii moja ya katikati ndio naifaulisha
ilipwe laki 4 kwa mwezi malipo ya miezi 3 na kuendelea
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba