Nyumba kubwa ya kisasa inayojitegemea yenyewe kwenye fensi yake kubwa inapangishwa bei ni 700,000/= x 6
nyumba hii ina sifa zifuata
#vyumba 3 vikubwa vya kulala kimojawapo ni master bedroom kubwa
#sebule kubwa
#dinning
#jiko kubwa la kisasa
#public toilet
#heater
#air condition zimefungwa kote
#full security
#garden
#parking kubwa
bei ni 700,000/= x 6
itakua wazi kuanzia tarehe 30/11/2026