Apartment nzuri ya familia ya kisasa inapangishwa laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 3 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa la kisasa
#store
#paving
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#inayopangishwa ni ya chini
#garden
#parking kubwa ya kutosha
apartment hizi zipo kimara suka upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 12 tuu kwa miguu
bei ni 500k x 6
ilipwe laki 5 kwa mwezi malipo ya miezi 6