Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa na zipo mbili tuu kwenye fensi moja na zipo mbali mbali
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 3 vya kulala kimojawapo ni master
#sebule kubwa
#dining
#jiko kubwa la kisasa
#public toilet
#luku na mita ya maji inajitegemea
#zipo apartment 2 tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio inapangishwa
#garden
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 2 usafiri ni bajaji sh elfu 1 tuu
kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utamlipa dalali kodi ya mwezi mmoja