Apartment nzuri ya kibachela inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#chumba kikubwa
#sebule kubwa
#jiko
#choo kizuri cha ndani kwa ndani
#maji dawasa yanatoka ndani masaa 24
#paving
#garden
#parking
bei ni 200k x 4
ilipwe laki 2 kwa mwezi malipo ya miezi 4 na kuendelea
apartment hii ipo mbezi kwa yusuph upande wa kulia kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 15 tuu kwa miguu
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba