Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
# chumba kikubwa
#sebule kubwa
#jiko kubwa
#public toilet
#store ipo ndani
#luku inajitegemea
# maji dawasa yanatoka ndani masaa 24
bei ni 250k x 6
ilipwe laki 2 na 50 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ipo kimara temboni upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1 usafiri ni bajaji sh 500 na ukishuka tuu kwenye bajaji unatembea dk 1 tuu upo kwenye nyumba
kuoneshwa nyumba hii garama yake ni shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba