Apartment nzuri ya kisasa ipo jirani na barabara kuu inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#chumba master bedroom kubwa sana
#sebule kubwa sana
#jiko kubwa open kitchen
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#parking
bei ni250k x 6
ilipwe laki 2 na elfu 50 kwa mwezi malipo ya miezi 6 tuu
apartment hii ipo kimara stop over upande wa kushoto kama unaenda mbezi kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni dk 6-7 tuu kwa miguu
kuoneshwa nyumba hii utalipia pesa shilingi elfu 15 na ukiipenda nyumba hii utalipia pesa ya udalali kodi ya mwezi mmoja shilingi laki 2 na nusu