APARTMENT KALI KABISA YA KISASA
Location
Kimara mwisho
Dk 5 toka morogoro road
Bei ni Tshs 250x6
SIFA ZAKE:
_________________
Ni chumba kimoja master
Sebule kubwa safi
Jiko open kitchen
Luku yake
Maji yanaflow chooni
Mazingira safi na salama
NOTE
_________
Hela ya tahadhali (caution money)