Apartment for rent
location
kimara baruti/matete
km 1 toka morogoro road
usafiri wa bodaa boda buku
sifa zake
vyumba 2 kimoja ni master
sebule kubwa ya kutosha
jiko kubwa lenye makabati
ina choo kizuri cha familia
umeme luku inajitegemea
maji safi ya dawasa 24 hrs
fensi na parking ni kubwa