Shamba linauzwa eneo linaitwa Beta, Kijiji cha Kimbwanindi, Wilaya ya Mkuranga, kando ya barabara ya Dar kwenda Lindi (kilometa 1 toka barabara ya lami)
Shamba Lina ukubwa
wa eka 41, sawa na square mita 166,050.
Bei ni shilingi 4,500 per square mita.Shamba lipo km 60 kutoka Dar city center au km 40 toka Mbagala. Shamba lina miembe, minazi,michungwa, limau, michenza na miti ya mbao aina mitiki mweupe na ipo tayari kwa kuvunwa.