Mradi wa viwanja kiluvya Manzese
!
Bei ni 30,000 kwa sqm 1, utapata kwa kuanzia milion 30 eneo la ukubwa wa SQM 1000.
!
Umbali ni 2.5 kilometa kutoka morogoro road (kikuvya madukani)
!
Malipo unaweza ukalipa Cash au ukalipa kwa Awamu ( instalment)
!
Malipo ya awamu utaanza kulipa asilimia 50 ambayo ni nusu ya bei ya kiwanja na nusu inayobaki utalipa kidogo kidogo kwa muda wa miezi 6 bila Riba na bila kupangiwa mfumo wa malipo.
!
Mradi huu kwa kulipa kwa awamu utaanza kulipa million 15 ambayo ndio nusu ya bei, na million 15 inayobaki ndio utalipa kidogo kidogo boss wangu.
!
Tupigie simu kwa huduma ya haraka twende ukatembelee mradi huu mzuli.
!
Kutembelea miradi yetu ni kila siku kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni, kwa garama nafuu ya Tsh 15000 kwa mtu mmoja.
!
PIA TUNAMIRADI MIZURI KIBAHA KUANZIA BEI YA MILLION 2.5 NA KUENDELEA.