2bdrm House in Mbez Ya Kimara, Kijitonyama for Rent
1/6
+ 1
images
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, Kijitonyama, 2 hours ago
23 views
2bdrm House in Mbez Ya Kimara, Kijitonyama for Rent
+1
3
House
2 bedrooms
2 bathrooms
mbez ya kimara
Property Address
mbez ya kimara
Estate Name
900sqm
Property Size
Newly-Built
Condition
Unfurnished
Furnishing
Pets Allowed
Pets
Yes
Service Charge
20000
Agency Fee
250000
Caution Fee
Chandelier
Balcony
Hot Water
Microwave
Pop Ceiling
Apartment
Dishwasher
Kitchen Cabinets
Kitchen Shelf
Dining Area
24-hour Electricity
Apartment nzuri ya kisasa inapangishwa
apartment hii ina sifa zifuatazo
#vyumba 2 vikubwa sana vya kulala kimojawapo ni master
#sebule kubwa
#jiko kubwa
#public toilet
#luku na mita ya maji dawasa inajitegemea
#parking
#zipo apartment 3 tuu kwenye fensi moja na hii moja ndio ipo wazi
bei ni 250k x 6
apartment hii ipo mbezi mwisho upande wa kulia njia ya kuelekea makabe kutoka morogoro road hadi kwenye nyumba ni km 1.5 kwa gari
pia kuna usafiri wa kuchangia ambao ni daladala na bajaji sh 500
njia ya gari ni rafiki kwa aina zote za magari hadi kwenye nyumba