Viwanja vinauzwa
ukubwa wa viwanja ni tofauti tofauti kuna sqm 450 hadi sqm 1000 na uweza kuunganisha kutokana na uhitaji wako viwanja ni tambarale kabisa miundombinu ya kijamii ni mizuri sana mahitaji yote muhimu yanapatikana kwa urahisi maji na umeme vyote vipo site