Kiwanja kinauzwa kigamboni cheka,kiwanja kimepimwa na ukinunua hati itatolewa kwa majina Yako Moja kwa Moja.kiwanja kipo umbali wa kilomita 2 TU kutoka Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au kimbiji.kiwanja kipo tambarale na ardhi yake ya kichanga.Uzuri wa kiwanja hiki kipo kwenye mtaa ambayo tayari pameshaanza kujengeka,Pia Umeme upo tayari,Pia unaweza lipia kwa cash au kwa installment, Utaratibu wa malipo Anza na asilimia 50%, itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 6.kwa maelezo zaidi nipigie,Au tembelea katika ofisi yetu iliyopo kigamboni kibada kwa mchina