Kiwanja kinauzwa kigamboni Geza ulole,kiwanja kizuri na ni kiwanja Cha Kona kiwanja kimepimwa na kina hati ya wizara.Uzuri wa kiwanja hiki kipo kwenye mtaa mzuri uliojengeka vizuri.Kipo umbali wa kilomita 1 ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni.kwamaelezo zaidi nipigie