Kiwanja kinauzwa kigamboni cheka,mtaa wa Mwanzo mgumu.kiwanja kipo kilomita 2 ukitokea Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni.kiwanja kimepimwa na ukinunua hati itatolewa kwa majina Yako Moja kwa Moja.Uzuri wa kiwanja hiki kipo kwenye mtaa mkubwa, Barabara yake imechongwa na inapitika muda wote.pia unaweza lipia cash au kwa installment,Unachotakiwa ulipie 50%ya Bei ya kiwanja itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 6.kwa maelezo zaidi nipigie