tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Property
  3. Land & Plots For Sale
  4. Residential Land for Sale
Dar es Salaam, Temeke, Kigamboni, 08/05
8 views

Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Cheka

+1
Residential Land
Type
360sqm
Square Metres
Residential
Property Use
Electric Supply, Water Supply
Facilities
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa kigamboni Mwanzo mgumu,kiwanja kizuri na kipo jirani na makazi ya watu,sehemu ambayo tayari imeshaanza kujengeka.kiwanj kipo umbali wa kilomita 1.5 TU kutoka Barabara kubwa ya lami iendayo ferry kigamboni au kimbiji.Uzuriwa kiwanja hiki kimeshapimwa na ramani yake imeshasajiliwa na wizara,Ukinunua hati itatolewa kwa majina Yako Moja kwa Moja.pia unaweza kununua kwa utaratibu wa malipo ya kidogo kidogo,Anza na 50%ya Bei ya kiwanja itayobaki utaendelea kulipia kidogo kidogo ndani ya miezi 6.Miundombinu yake ni rafiki,yaani Barabara zinapitika muda wote,maji yapo, umeme upo,shule ya msingi na sekondar ipo jirani na kiwanja hiki.
Kiwanja Kinauzwa Kigamboni Cheka
TSh 9,360,000per Plot
Negotiable
Report Abuse
Safety tips
  • It's safer not to pay ahead for inspections
  • Ask friends or somebody you trust to accompany you for viewing
  • Look around the apartment to ensure it meets your expectations
  • Don't pay beforehand if they won't let you move in immediately
  • Verify that the account details belong to the right property owner before initiating payment
frame_left.gif